Habari za Punde

Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba Awaapisha Masheha Aliowateuwa Hivi Karibuni Kisiwani Pemba.

MKUU wa Mkoa wa Kusini Pemba Mhe.Hemed Suleiman Abdalla,(kulia) akiwaapisha Masheha aliowateuwa hivi karibuni kuchukua nafasi hizo, wa kwanza kushoto akimwapisha Mhe Sheha wa Shehia ya Kuukuu Omar Bakari Omar, hafla hiyo imefanyika katika Ofisi Mkuu wa Mkoa wa Kusini Pemba na kuhudhuriwa na Viongozi wa Serikali na Vyama.
(Picha na Abdi Suleiman - Pemba)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.