Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Afanya Ziara Kutembeleo Kiwanda Cha Uchapaji Maruhubi na Eneo Linalotarajiwa Kujengwa Mahkama Kuu ya Zanzibar.Tunguu.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt,Ali Mohamed Shein katikati akioneshwa Ramani inayoonesha eneo linalotarajiwa kujengwa Mahkama kuu na Mkurugenzi Mipango miji na Vijiji Muhammad Juma Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt,Ali Mohamed Shein katikati akifuatana na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Hassan Khatibu wapili kushoto  na viongozi wengine mbalimbali wakilitembelea eneo linalotarajiwa kujengwa Mahkama kuu na kuangalia mipaka yake Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt,Ali Mohammed Shein katikati akiangalia nakala ya Gazeti la Zanzibar leo linalochapishwa na Idara ya Uchapaji baada ya kufanya ziara katika Idara hio Maruhubi Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt,Ali Mohamed  Shein wapili kulia akiangalia mitambo mbalimbali ya Uchapishaji baada ya kufanya ziara katika   Idara ya uchapaji Maruhubi Mjini Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt,Ali Mohamed  Shein akizungumza na wafanyakazi wa Idara ya Uchapaji pamoja na wananchi baada ya kufanya ziara ya kuangalia mitambo ya uchapishaji katika Idara hio Maruhubi Mjini Zanzibar.
Picha na Maelezo Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.