Habari za Punde

Maandalizi ya Siku ya Maafa Duniani Kuadhimisha Kisiwani Pemba.Kitaifa.

Mwenyekiti wa Kamisheni ya Kukabiliana na Maafa Zanzibar, ambae pia ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwa katika kipindi Maalum cha kuelekea katika matayarisho ya Siku ya Maafa Duniani Kitaifa inatarajiwa kufanyika Ukumbi wa Makonyo Chake chake Pemba.
 Mwenyekiti wa Kamisheni ya Kukabiliana na Maafa Zanzibar ambae pia ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwa katika kipindi Maalum cha kuelekea katika matayarisho ya Siku ya Maafa Duniani Kitaifa inatarajiwa kufanyika Ukumbi wa Makonyo Chake chake Pemba.
Picha na – OMPR – ZNZ.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.