Habari za Punde

Mwanamichezo Mashuhuri Zanzibar na Mwakilishi wa Jimbo la Uzini Mhe. Mhe Mohammed Raza Daramsi Akabidhi Zawadi Kwa Washindi wa Ligi Kuu ya Zanzibar Kwa Mwaka 2017/2018.

Mwakilishi wa Kampuni ya ZAT Zanzibar Ali Juma akimkabidhi Kombe la Ubingwa kwa ajili ya kukabidhiwa Bingwa wa Ligi Kuu ya Zanzibar kwa msimu wa Mwaka 2017/2018, akipokea Kombe hilo Mjumbe wa Kamati ya Mpito ya ZFA,Hafla hiyo imefanyika katika ukumbi wa VIP uwanja wa Amaan Zanzibar
Mjumbe wa Kamati ya Mpito ya ZFA Alawi akizungumza wakati wa hafla hiyo ya kukabidhiwa zawadi kutoka kwa Mfanya Biashara Maarufu wa Zanzibar Mhe Mohammed Raza, ametoka zawadi mbalimbali kwa ajili ya Washindi wa Ligi Kuu ya Zanzibar kwa msimu uliomalizika wa 2017/2018. kulia Mwakilishi wa Kampuni ya ZAT Ali Juma. 


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.