Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, Atembelea Mabanda ya Maonesho ya Utalii Viwanja vya Hoteli ya Verde Mtoni Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Mhe. Mahmoud Thabit Kombo alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Kitalii ya Verde Mtoni Zanzibar kuhudhuria hafla ya kufungua Maonesho ya Utalii ya Kimataifa Zanzibar,. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan,alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Kitalii ya Verde Mtoni Zanzibar kuhudhuria hafla ya kufungua Maonesho ya Utalii ya Kimataifa Zanzibar,. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Balozi Seif Ali Iddi,alipowasili katika viwanja vya Hoteli ya Kitalii ya Verde Mtoni Zanzibar kuhudhuria hafla ya kufungua Maonesho ya Utalii ya Kimataifa Zanzibar,. 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiongozana na Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Mahmoud Thabit Kombe wakielekea katika mabanda ya Maonesho ya Utalii,yaliofanyika katika viwanja vya Hoteli ya Kitalii ya Verde Mtoni Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, akiwa na Waziri wa Habari Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe. Mahmoud Thabit Kombo,akitembelea mabanda ya Maonesho ya Utalii katika viwanja vya Hoteli ya Kitalii ya Verde Mtoni Zanzibar.


No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.