Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, Azindua Kitabu Cha Sheria Kwa Mwaka 2019, Katika Hafla ya Siku ya Sheria Zanzibar Zilizofanyika Kisiwani Pemba Mkoa wa Kaskazini.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akizindua Kitabu cha Sheria 2019 cha Zanzibar ya Law, wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar yaliofanyika katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete kulia Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu na kushoto Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi wa Umma na Utawala Bora Zanzibar.Mhe. Haroun Ali Suleiman.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akionesha Kitabu cha Sheria cha Mwaka 2019 cha Zanzibar ya Law, akichokizindua katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar, zilizofanyika Kitaifa Kisiwani Pemba Mkoa wa Kaskazini Wilaya ya Wete.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar zilizofanyika katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba. zilizofanyika Kitaifa. 
Wananchi wa Kisiwani Pemba wakihudhuria hafla ya Maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar zilizofanyika Ukumbvi wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia wakati wa maadhimisho hayo yaliofanyika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba.
Wafanyakazi wa Mahkama Zanzibar wakifuatilia hafla hiyo ya Maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar,katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba.
Baadhi ya Mahakimu na Wafanyakazi wa Mahkama Zanzibar na Wananchi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, akihutubia katika hafla hiyo ya Maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar, iliofanyika katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Ali Mohamed Shein, kulia Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu na kushoto Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. Haroun Ali Suleiman, wakifuatilia Igizo la Kikundi cha Kachara wakionesha jinsi ya baadhi ya Wananchi wanaovunga Sheria.
Kikundi cha Vichekesho cha Kachara Kisiwani Pemba wakitowa burudani wakati wa hafla ya Maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar zilizofanyika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Jaji Mkuu wa Zanzibar Mhe. Omar Othman Makungu, wakiwa katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba katika hafla ya Maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar.
Mwakilishi wa Chama Cha Wanasheria Zanzibar Mhe. Omar Said Shaban, akizungumza na kuwasilisha salamu za Chama chake wakati wa hafla ya Maadhmisho ya Siku ya Sheria Zanzibar, zilizofanyika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete Kisiwani Pemba.
Mkurugenzi wa Mashtaka Zanzibar Mhe. Ibrahim Mzee akizungumza wakati wa hafla ya Maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar, zilizoadhimishwa Kitaifa Kisiwani Pemba katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba. 
Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Mhe. Said Hassan Said, akizungumza na kutowa maelezo ya Kisheria wakati wa hafla ya Maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar, zilizofanyika Kitaifa katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba.
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi wa Umma na Utawala Bora Zanzibar.Mhe. Haroun Ali Suleiman, akizungumza wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar,zilizofanyika katika Ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein, akimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi wa Umma na Utawala Bora Zanzibar Mhe.Haroun Ali Suleiman.wakiwa katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Wete Pemba katika hafla ya Maadhimisho ya Siku ya Sheria Zanzibar.No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.