Habari za Punde

Wakala wa Chakula Dawa na Vipodozi Wagundua Bidhaa Zilizoingizwa Kinyume na Utaratibu Zanzibar.

Mkaguzi  wa Chakula Dawa na Vipodozi Abrahman Hamadi Mussa akionesha kwa Waandishi wa Habari Bidhaa ya Majani ya Chai yalioingizwa nchini kinyume na Utaratibu ambayo imegunduliwa katika Ghala lililopo Mikunguni sheli mjini Unguja.
Mkaguzi  wa Chakula Dawa na Vipodozi Abrahman Hamadi Mussa akionesha kwa Waandishi wa Habari  tarehe na mahala inapotengenezwa Bidhaa ya Majani ya Chai ambapo ilionekana inatengenezwa Zanzibar wakati bidhaa hio inatengenezwa Dare es salaam na kuingizwa Nchini  kinyume na Utaratibu ambayo imegunduliwa katika Ghala lililopo Mikunguni sheli mjini Unguja.
Bidhaa ya majani ya chai yalioingizwa kinyume na utaratibu ikiingizwa katika Gari kwa ajili ya kwenda kuangamizwa ambayo  imegunduliwa katika Ghala lililopo Mikunguni sheli mjini Unguja.
Mkaguzi  wa Chakula Dawa na Vipodozi Abrahman Hamadi Mussa akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na kugundua Bidhaa ya Majani ya chai ilioingizwa Nchini kinyume na Utaratibu iliogunduliwa katika Ghala lililopo Mikunguni sheli mjini Unguja.
Mwanasheria wa Wakala wa Chakula Dawa na Vipodozo Khadija Abdalla Abasi akizungumza na Waandishi wa Habari kuhusiana na kugundua Bidhaa ya Majani ya chai ilioingizwa Nchini kinyume na Utaratibu iliogunduliwa katika Ghala lililopo Mikunguni sheli mjini Unguja.
Picha na Yussuf Simai -MAELEZO ZANZIBAR.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.