Habari za Punde

Makamu wa Rais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan Afungua Maadhimisho ya Nane Nane Simiyu.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akionesha Mpango Mkakati  Maalum wa kupambana na Hasara zitokanazo na mambo ya kilimo baada ya kuuzindua kwenye Uzinduzi wa Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima Nane nane Kitaifa katika Viwanja vya Nyakabindi Mkoani Simiyu leo Ogast 01,2019. kulia ni Waziri wa Kilimo Mhe. Japhet Hasunga, na  kushoto Mkuu wa Mkoa Simiyu Mhe. Anthony Mtaka.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizindua Mkakati Maalum wa kupambana na Hasara zitokanazo na mambo ya kilimo kwenye Uzinduzi wa Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima Nane nane Kitaifa katika Viwanja vya Nyakabindi Mkoani Simiyu leo Ogast 01,2019. kulia ni Waziri wa Kilimo Mhe. Japhet Hasunga, na  kushoto Mkuu wa Mkoa Simiyu Mhe. Anthony Mtaka.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mkuu wa Mkoa Simiyu Mhe. Anthony Mtaka  kwenye Uzinduzi wa Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima Nane nane Kitaifa katika Viwanja vya Nyakabindi Mkoani Simiyu
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Waziri wa Kilimo Mhe. Japhet Hasunga kwenye Uzinduzi wa Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima Nane nane Kitaifa katika Viwanja vya Nyakabindi Mkoani Simiyu
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Katibu Mkuu Wizara ya Uvuvi  Profesa Ole Gabriel  kwenye Uzinduzi wa Maadhimisho ya Sikukuu ya Wakulima Nane nane Kitaifa katika Viwanja vya Nyakabindi Mkoani Simiyu.No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.