6/recent/ticker-posts

Mchezo wa Awali wa Kombe la Mabingwac Kati ya KMKM na D'Agosto ya Angola Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar Timu ya Dispotivo Imeshinda Bao 2 - 0.idA

Beki wa Timu ya KMKM Khafidh Mohammed akijaribu kumzuiya mshambuliaji wa Timu ya D'Agosto ya Angola Jose Macsir Ganga wakati wa mchezo wa Awali wa Michuano ya Mabingwa Uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar. Timu ya D'Agosto imeshinda kwa bao 2-0.Mchezo Uliofanyika Uwanja wa Amaan Zanzibar leo jioni 10-8-2019.

















Post a Comment

0 Comments