Habari za Punde

Rais Dk Shein akutana na Taasisi ya Utafiti na Sera ya Sheikh Saud Al Qaasimi

 Mkurugenzi Mtendaji wa Taasisi ya Sera na Utafiti ya Sheikh Saud Bin Saqr Al Qasimi Ndg,Natasha Ridge (kushoto) akimkabidhi kitabu Maalumu cha Mitaala ya Elimu utoaji wa mafunzo ya kitaalamu ya kuwajengea uwezo walimu kuanzia ngazi ya Msingi hadi Sekondari Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein wakati ujumbe wa Taasisi hiyo ulipofanya mazungumzo na Rais Dk.Shein na Ujumbe wake katika Hotel ya Waldorf Astoria Ras Al Khaimah.[Picha na Ikulu.] 
 Baadhi ya viongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakiwa katika Mkutano maalumu na Taasisi ya Sera na Utafiti ya Sheikh Saud Bin Saqr Al Qasimi nchini Ras Al Khaimah (U.A.E) ambapo wapo nchini humo na Mheshimiwa Rais Dk.Ali Mohamed Shein kwa Ziara maalumu ya siku saba (kuyshoto) Waziri wa Fedha na Mipango wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar Mh.Mohamed Ramia Abdiwawa,Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Issa Haji Ussi Gavu, Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Mh.Said Hassan Said na Waziri wa Ardhi,Ujenzi,Maji na Nishati Mh.Salama Aboud Talib.[Picha na Ikulu.]
 Washiriki wa Mkutano wa pamoja kati ya ujumbe wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Taasisi ya Sera na Utafiti ya Sheikh Saud Bin Saqr Al Qasimi wakiongozwa na Mheshimiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mh.Dk.Ali Mohamed Shein (kulia) wakiwa katika mkutano ambao ulijadili kwa kina Masuala ya Elimu kwa pande zote mbili katika Ukumbi wa Hotel ya Waldorf Astoria Ras Al Khaimah.[Pic ha na Ikulu.]   
Washiriki wa Mkutano wa pamoja kati ya ujumbe wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar na Taasisi ya Sera na Utafiti ya Sheikh Saud Bin Saqr Al Qasimi wakiongozwa na Mheshimiwa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mh.Dk.Ali Mohamed Shein (hayupo pichani) wakiwa katika mkutano ambao ulijadili kwa kina Masuala ya Elimu kwa pande zote mbili katika Ukumbi wa Hotel ya Waldorf Astoria Ras Al Khaimah.[Picha na Ikulu.]   

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.