Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Sirro,
akipokea salamu kutoka kwa CPL Zurith baada ya kuwasili katika kituo cha Polisi
cha Ruangwa alipopitia akiwa katika ziara ya Mh Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Dk Joseph Magufuli.
Maafisa na wakaguzi wakimpokea Mkuu wa Jeshi la Polisi
Nchini IGP Simon Sirro baada ya kuwasili katika kituo cha Polisi cha Ruangwa kilichopo
wilayani Ruangwa mkoani Lindi kwaajili ya kusikiliza changamoto za askari wa
kituo hicho.
Mkuu wa Jeshi la
Polisi Nchini IGP Simon Sirro akiwa katika picha ya pamoja na Maafisa, Wakaguzi
na Askari wa Kituo cha Polisi cha Ruangwa kilichopo mkoani Lindi.
( Picha na Jeshi la Polisi)
No comments:
Post a Comment