Habari za Punde

MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI WA KUMBUKIZI ZA MIAKA 20 BILA BABA WA TAIFA

Ndugu waandishi wa Habari

Tunapenda kuwaalika katika mkutano wa kumbukizi za miaka 20 bila baba wa Taifa Mwl. Juliasi Kmbarage Nyerere. Mkutano utafanyika kesho saa tano asubuhibuhi katika hoteli ya New Africa. 

Kumbukizi zitafanyika kuanzia tarehe 8 hadi 14/10/2019 katika uwanja wa Uhuru. Shughuli nyingine itakuwa ni pamoja na kuzindua kampeni ya mama rudi jikoni iliyo asisiwa na mama Maria Nyerere, pamoja na mtaala wa uzalendo kwa ajli ya kufundisha maswala mazima ya uzalendo kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari.

Wenu
John Meshack
Katibu msaidizi wa maandalizi ya kumbukizi za baba wa taifa.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.