Mkuu wa Zantel Zanzibar Ndg.Mohammed Khamis Mussa kushoto na Mkurugenzi wa Masoko na Uendeshaji Biashara wa Tpb. Ndg. Deo Kwiyukwa, wakizindua, wakipogenzana baada ya kuzindua huduma ya Kushirikiana na Benki ya Posta Tanzania kuboresha huduma za kifedha kupitia simu za mkonino katika Mtandao wa Ezypesa, kuunganishwa na Benki ya Tpb kuwawezesha Wateja kufanya mihamala ya kifedha ya kibenki kupitia simu zao. hafla hiyo ya uzinduzi imefanyika katika Tawi la Benki ya Posta Zanzibar.
TUGHE yapongeza kiwango cha utendaji kazi cha PURA kwa mwaka 2024/25
-
Naibu Katibu Mkuu TUGHE Taifa, Ndg. Amani Msuya ameeleza kuvutiwa na
kiwango cha utendaji kazi wa Mamlaka ya Udhibiti Mkondo wa Juu wa Petroli
(PURA) kwa m...
3 hours ago

No comments:
Post a Comment