Habari za Punde

Shamrashamra za Sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar Kwa Uwekaji wa Jiwe la Msingi Mradi wa Ujenzi wa Bandari na Soko la Samaki Malindi Jijini Zanzibar.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiwasili katika eneo la Mradi wa Ujenzi wa Bandari na Soko la Samaki Malindi Jijini Zanzibar (kushoto kwa Rais) Mwakilishi wa Balozi wa Japan Nchini Tanzania Bw.Katsutoshi Tadeka na (kulia kwa Rais) Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar.Mhe. Mmanga Mjengo Mjawiri, ikiwa ni shamrashamra za kuadhimisha sherehe za Miaka 56 ya Mapinduzi ya Zanzibar.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Ali Mohamed Shein akiondoa kipazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Bandari na Soko la Samaki Malindi Jijini Zanzibar (kulia kwa Rais ) Waziri wa Kilimo Maliasili Mifugo na Uvuvi Zanzibar Mhe. Mmanga Mjengo Mjawiri na (kushoto kwa Rais) Mwakilishi wa Balozi wa Japan Nchini Tanzania Bw.Katsutoshi.

















No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.