Habari za Punde

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA, AWAJULIA HALI WAGONJWA KATIKA HOSPITALI YA WILAYA YA RUANGWA, MKOANI LINDI.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akiwa na Mkewe Mary, wakimsalimia Mzazi, Zulfa Juma, wakati wakiwajulia hali wagonjwa, katika Hospitali ya Wilaya ya Ruangwa, mkoani Lindi, Januari 2, 2020.
 Mke wa Waziri Mkuu, Mary Majaliwa, akimjulia hali Mzazi, Zena Issa, wakati altpotembelea Wodi ya Wazazi, katika Hospitali ya Wilaya ya Ruangwa, mkoani Lindi
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na wananchi, baada ya wakiwajulia hali wagonjwa, katika Hospitali ya Wilaya ya Ruangwa, mkoani Lindi, 
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, akizungumza na wananchi, baada ya wakiwajulia hali wagonjwa, katika Hospitali ya Wilaya ya Ruangwa, mkoani Lindi, Januari 2, 2020. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.