Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi, CP Liberatus
Sabas, akisalimiana na mwakilishi wa Kampuni
ya utengenezaji wa pikipiki aina ya Kinglion baada ya kuwasili Makao Makuu ya Polisi
Jijini Dar Es Salaam walizozitoa kwaajili yakusaidia shughuli mbalimbali za Jeshi
la Polisi ikiwemo Doria.
Kamishna wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi, CP Liberatus
Sabas, akiwa amepanda pikipiki moja kati ya 10 zilizotolewa na Kampuni ya Kinglion ndani ya Jeshi la Polisi
kwaajili ya shughuli mbalimbali za Jeshi.
Kamishna
wa Operesheni na Mafunzo ya Jeshi la Polisi, CP Liberatus Sabas, wa saba kutoka
kulia akiwa katika picha ya pamoja na Maafisa wa Jeshi la Polisi Makao Makuu pamoja
na wawakilishi kutoka kampuni ya Kinglion baada ya kukamilika zoezi zima la
makabidhiano ya kupokea pikipiki 10 aina
ya Kinglion zitakazotumia Mkoani Dodoma kwaajili ya shughuli za Jeshi la Polisi
(Picha na Jeshi la Polisi)
No comments:
Post a Comment