Habari za Punde

RAIS DKT MAGUFULI AWAAPISHA VIONGOZI ALIOWATEUA HIVI KARIBUNI KATIKA HAFLA ILIYOFANYIKA IKULU, DAR ES SALAAM LEO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimpandisha cheo  DCP John Masunga kuwa Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji katika  hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha DCP John Masunga kuwa Kamishna Jenerali wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji katika  hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimpandisha cheo Brigedia jenerali Suleiman M. Mzee kuwa Kamishna jenerali wa Magereza katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es

salaam 

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha  Brigedia jenerali Suleiman M. Mzee kuwa Kamishna jenerali wa Magereza katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akishuhudia Jaji Kiongozi akimuapisha akimuapisha Bi. Shamira S. Sarwat kuwa Msajili wa Mahakama Kuu katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Bi. Zena A. Saidi kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Nishati katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Profesa Riziki S. Shemdoe kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Viwanda na Biashara katika  hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Christopher Kadio kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi katika  hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Dkt. Hassan Abbas kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo katika  hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Bi. Mary G. Makondo kuwa Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi katika  hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Bi. Judica H. Omari kuwa Katibu Tawala wa mkoa wa Tanga katika  hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Stephen Mashauri kuwa Katibu Tawala wa mkoa wa Ruvuma katika  hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Bi. Judica H. Omari kuwa Katibu Tawala wa mkoa wa Tanga katika  hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Nathaniel M. Nhonge kuwa Kamishna wa Ardhi katika Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi katika  hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Wilbert M. Chuma kuwa Msajili Mkuu wa Mahakama katika hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Kelvin Mhina kuwa Msajili wa Mahakama ya Rufani katika  hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Bw. Nathaniel M. Nhonge kuwa Kamishna wa Ardhi Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi katika  hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Jaji Dkt. Gerald Ndika kuwa Kamishna wa Tume ya Mahakama ya Utumishi wa Mahakama katika  hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Wakili Julius K. Bundala kuwa Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Mahakama  katika  hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha  Wakili Genoveva M. Kato kuwa Kamishna wa Tume ya Utumishi wa Mahakama katika  hafla iliyofanyika Ikulu jijini Dar es salaam
Februari 3, 2020.Picha na Ikulu.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.