Habari za Punde

Kada wa CCM wa 22 Ajitokeza Kuchukua Fomu ya Urais wa Zanzibar Mhe. Bakari Rashid Bakar

Kada wa 22 wa Chama Cha Mapinduzi Zanzibar Mhe. Bakar Rashid Bakar Ajitokeza Kuchukua Fomu ya Kuwania Kuteuliwa na Chama Kugombea Urais wa Zanzibar, akionesha Mkoba wenye fomu za kugombea Urais wa Zanzibar baada ya kukabidhiwa na Katibu Idara ya Oganizesheni ya CCM Zanzibar Ndg. Galos Nyimbo,hafla hiyo imefanyika katika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.
Katibu Idara ya Oganizesheni ya CCM Zanzibar Ndg. Galos Nyimbo  akimkabidhi mkoba wa Fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar Mhe. Bakar Rashid Bakar, wakati wa zoezi hilo la uchukuaji wa Fomu ya Urais kupitia  CCM Zanzibar, uliofanyika leo Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.