Habari za Punde

Mgombea Mwenza wa Urais wa Tanzania CCM Mhe Samia Suluhu Hasan Amepiga Kura Yake Kituo cha Kupigia Kura SOS Zanzibar.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiwa katika foleni ya kupiga kura kwa ajili ya kuchagua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais wa Zanzibar, Wabunge, Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi na Madiwani katika kituo cha SOS Mombasa Zanzibar kwenye Uchaguzi Mkuu unaofanyika Octoba 28,2020.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipokea karatasi za kupiga kura kutoka kwa Muwandishi Yussuf Haji  katika kituo cha SOS Mombasa Zanzibar  kwa ajili ya kupiga kura kuchagua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais wa Zanzibar, Wabunge, Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi na Madiwani kwenye Uchaguzi Mkuu unaofanyika Octoba 28,2020. 
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akipiga kura kwa ajili ya kuchagua Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais wa Zanzibar, Wabunge, Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi na Madiwani katika kituo cha SOS Mombasa Zanzibar kwenye Uchaguzi Mkuu unaofanyika leo Octoba 28,2020
(Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.