Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi afungua Kongamano la Waandishi wa Habari Zanzibar

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akielekea katika ukumbi wa mkutano wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar, kuhudhuria hafla ya Ufunguzi wa Kongamano la Waandishi wa Habari Zanzibar na (kulia kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe.Idrisa Mustafa Kitwana na (kushoto kwa Rais) Mwenyekiti wa Kamati ya Waandishi wa Habari Zanzibar Ndg. Farouk Karim.(Picha na Ikulu)


MWENYEKITI wa Kamati ya Waandishi wa Habari Zanzibar Ndg, Farouk Karim akizungumza na kutowa maelezo ya lengo la Kongamano la Waandishi wa Habari Zanzibar la Kujadili Matumizi ya Sekta ya Mawasiliano ya Habari Katika Kuijenga Zanzibar Mpya, kabla ya ufunguzi wa Kongamano hilo lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
MWENYEKITI wa Kamati ya Waandishi wa Habari Zanzibar Ndg, Farouk Karim akizungumza na kutowa maelezo ya lengo la Kongamano la Waandishi wa Habari Zanzibar la Kujadili Matumizi ya Sekta ya Mawasiliano ya Habari Katika Kuijenga Zanzibar Mpya, kabla ya ufunguzi wa Kongamano hilo lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
MUWASILISHAJI Mada ya Mapendekezo ya Wadau wa Habari Dhidi ya Mswaada wa Habari Zanzibar ikiwasilishwa na Bw. Suleiman Seif, wakati wa Kongamano la Waandishi wa Habari Zanzibar Kujadili Matumizi ya Sekta ya Mawasiliano ya Habari katika Kuijenga Zanzibar Mpya, lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
WAZIRI wa Habari,Vijana Utamadini na Michezo Zanzibar Mhe. Tabia Maulid Mwita akizungumza katika hafla ya ufunguzi wa Kongamano la Waandishi wa Habari Zanzibar kabla ya kumkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi, kulifungua Kongamano hilo lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Kongamano la Waandishi wa Habari Zanzibar Kujadili Matumizi ya Sekta ya Mawasiliano ya Habari katika Kuijenga Zanzibar Mpya, lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
MHARIRI Mkuu wa Shirika la Magazeti ya Serikali Zanzibar Leo Bw. Yussuf Khamis akifuatilia hutuba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) wakati wa ufunguzi wa Kongamano la Waandishi wa Habari Zanzibar.Kujadili Matumizi ya Sekta ya Mawasiliano ya Habari katika Kuijenga Zanzibar Mpya lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
BAADHI ya Viongozi wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Kongamano la Waandishi wa Habari Zanzibar, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kulifungua Kongamano hilo lililofanyika katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
WAANDISHI wa Habari Waandamizi Zanzibar wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Kongamano la Waandishi wa Habari Zanzibar Kujadili Matumizi ya Sekta ya Mawasiliano ya Habari katika Kuijenga Zanzibar Mpya, lililofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
MAAFISA Habari wa Wizara na Mashirika ya Serikali wakifuatilia Kongamano la Kujadili Matumizi ya Sekta ya Mawasiliano ya Habati katika Kuijenga Zanzibar Mpya, wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) akihutubia na kulifungua Kongamano hilo katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajunin Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
WAANDISHI wa Habari Waandamizi Zanzibar wakifuatilia hutuba ya ufunguzi wa Kongamano la Waandishi wa Habari Zanzibar Kujadili Matumizi ya Sekta ya Mawasiliano ya Habari katika Kuijenga Zanzibar Mpya, lililofunguliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) katika ukumbi wa Sheikh Idrisa Abdulwakil Kikwajuni Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Serikali na Wajumbe wa Kamati ya Waandishi wa Habari Zanzibar walioandaa Kongamano hilo waliosimama nyuma, na waliokaa kutoka (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla, Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Mgeni Hassan Juma na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Zanzibar Mhe. Tabia Maulid Mwita ,Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar.Dkt.Abdalla Juma Mabodi na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Mustafa Kitwana.(Picha na Ikulu)

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na Viongozi wa Serikali na Waandishi wa Habari Waandamizi Zanzibar waliosimama nyuma, na waliokaa kutoka (kulia kwa Rais) Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe. Hemed Suleiman Abdulla.Naibu Spika wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mhe. Mgeni Hassan Juma na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Mhe. Tabia Maulid Mwita ,Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar.Dkt.Abdalla Juma Mabodi na Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja Mhe. Idrisa Mustafa Kitwana.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.