Habari za Punde

Waumini wa Kiislamu Watakiwa Kuitumia Misikiti Kutatua Changamoto za Kadhaa za Jamii.

 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi akiondoa kipazia kwa ajili ya ufunguzi wa Masjid Taqwa Gombani ya Kale Pemba akiwa na Mwakilishi wa Mfadhili wa ujenzi huo Bw. Humoud Mohammed,hafla hiyo imefanyika leo 12-3-2021

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Alhajj Dk. Hussein Ali Mwinyi, ameeleza kwamba mbali ya ibada ya sala tano ni vyema misikiti ikafanyakazi ya kushughulikia matatizo ya jamii.

Alhaj Dk. Mwinyi alitoa rai hiyo leo wakati akiufungua Msikiti Taqwa ulioko Gombani ya kale Chake Chake, Mkoa wa Kusini Pemba na kuwataka waumini wa dini ya Kiislamu kuitumia misikiti kwa kutatua changamoto kadhaa za kijamii.

Katika hotuba yake Alhaj Dk. Mwinyi alieleza, kwamba bado misikiti haijatumika ipasavyo na walio wengi wanadhani misikiti ni kwa ajili ya swala tano pekee, hali ambayo iwapo misikiti itatumika vizuri itasaidia kutatua changamoto zilizopo katika jamii.

Alisema kwamba ni vyema misikiti ukiwemo huo alioufungua iwe na idara mbalimbali zitakazo jadili changamoto za jamii ikiwemo kuwasaidia wajane sambambana suala zima la udhalilishaji ili mambo hayo yaondoke katika jamii.

Hivyo, Dk. Mwinyi alisema haitakuwa busara kuona mskiti huo uliojengwa kwa gharama kubwa, usitumike kupanga mipango na mikakati mbalimbali ya kuisadia jamii iliyopo katika eneo hilo.

“Katika karne hii tuliyonayo, bado miskiti haijatumika na tulio wengi tukishamaliza kuswali swala tano, ndio kazi imekwisha, kumbe tuna makundi kama ya wajane ambayo yanachangamoto mbalimbali,’’alieleza.

Alizumgumzia hali duni ya walimu wa madrasa na maimamu katika misikiti Alhaj Dk. Mwinyi aliitaka jamii kukaa pamoja kuangalia ni vipi wanawasaidia.

Aidha, Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi, alisema serikali itafanya kila juhudi kuhakikisha ahadi alizoziweka anazitekeleza hatua kwa ahatua.

Alieleza kuwa, anaelewa vyema changamoto zilizomo ndani ya jamii mfano kwenye sekta ya miundombinu ya barabara, afya, maji safi na salama pamoja na elimu, hivyo atahakikisha anaimarisha.

Aliwataka waumini wa dini ya kiislamu na wananchi wengine kuendelea kumuombea dua kila wakati, ili afanikishe malengo na kutekeleza ahadi zake alizowaahidi wananchi hao huku akimpongeza mfadhili wa msikiti huo.

“Naombani wakumbushe kuwa, nakumbuka kuwa nnaahadi kwenu ambazo niliwaahidi, hivyo malengo na dhamira nnayo, hivyo niombeeni dua ili nifanikishe hayo,’’alieleza Alhaj Dk. Mwinyi.

Kuhusu amani na utulivu uliopo nchini, Alhaj Dk. Miwnyi alisema kuwa Serikali itafanya kila juhudi kuhakikisha amani na umoja unadumu ili wananchi wafanye shughuli zao za maendeleo.

 Alisema, ataendelea kusisitiza jambo hilokilaanapokutananawananchi, kwanindiomsingiwakilajambo, katikanchinajamiikwaujumla.

“HataKhatibuwetuwakatianatupadaawa, alielezaumuhimuwaumojanamshikamanomiongonimwetunakutumiaayambalimbali, sasanamiminitaendeleakulisisitijambohilo,’’alifafanua.

Akizungumziahofuwaliyokuwanayobaadhiyawananchiwa Zanzibar marabaadayakifo cha Makamuwa kwanza waraiswa Zanzibar MaalimSeif Sharif HamadFebuari 17, juuyakuendelezwamaridhiano, Alhaj Dk. Mwinyialiwatoahofuwananchi.

AlisemakwabahatinzuriamepatikanaMakamuwa kwanza waRaisambayetayariameshakaanaenakumuahidikuendelezamaridhianonaumojawaWazanzibarikamailivyoazmayaSerikaliiliyopo.

MapemaKatibuwa Mufti wa Zanzibar sheikh Khalid Ali Mfaume, alisemakunamalipomakubwakwaaliyejengamsikiti, ikiwanipamojanakuwanamakaazikwenyepepoya Allah.

AlisemakilichobakiasasabaadawauminiwadiniyakiislamuwaGombanikujengewamsikitihuo, nikuutunzanakuanzishaidarazitakazoijengajamii.

“LazimakuwenaIdaraambazozitatunzamskiti, kushughulikiasuala la taalumapamojanakuwanavikaovyakutatuachangamotokadhaazilizomondaniyajamii,’’alieleza.

Akizungumzakwaniabayamfadhiliwamsikitihuo, Sheikh Mohamed Suleiman Khalfan, alisemawameamuakuujengamsikitihuo, baadayauliyokuwepokuwananafasifinyukwawaislamu.

“Leo  tumefurahishwamnonaujiowaRaiswa Zanzibar katikaufunguziwetu, maanaalikuwanauwezowakuwatumawasaidizi wake, hiiinaoneshaimaniyakekwenye mambo yakheiri,’’alieleza.

AkisomarisalayawauiminiwadiniyakiislamuwaGombanipamojanawananchiwengine, ustadhHamadMussa Rashid alisemajina la ‘Taqwaa’ la mskitihuoliliasisiwana Mufti wasasa Sheikh Saleh Omar Qaabitokeamwaka 1988.

Alisemawakatihuopalikuwanamsikitimdogo, ambaobaadaewaliombaufadhiliilikujengewamkubwa, kutokananawakatihuokuzidiwanawaumini.

“LeokwetuwananchinawauminiwadiniyakiislamuwenzetuwahapaGombaninaChakechake, tumefarajikamnokuonatunahamiakwenyemsikitiambaoumeshaondoshatatizo la sehemuyakufanyiaibada,’’alieleza.

Alisemamsikitihuoambaounatarajiwakuwanaghorofambili, juunaghorofaya kwanza nikwaajiliyaibadayaswalanaghorofaya kwanza nikwaajiliya madrassa yawatotowao.

AkisomahutubambiliyaswalayaIjumaa sheikh KhalifaMrisho Omar, alisemaraisAlhajj Dk. Mwinyiamekuwanasifanzuriyakujalishidanamatatizoyawananchi wake.

“Kiongoziwetuhuyuamekuwanasifazakipekee, kwakulekuwakaribunawananchinakujalinakufuatiliakwakaribuchangamotozetu,’’alieleza.

Ujenziwa masjid taqwaaambaoulianzaFebuari 2, mwaka 2019 kwenyeeneo lake la chiniambalolimejengawasasa, unauwezowakusaliwanawaumini 840 wanawakenawanaume, naumegharimushilingimilioni 600.

Hatahivyo,ukimalizaghorofazotembili, utakuwanauwezowakusaliwanawaumini 2000, hukuRaiswa Zanzibar akiahidinaekuchangiakatikauendelezajiwaujenziwamskitihuo.

Rajab Mkasaba, Ikulu Zanzibar

Postal Address: 2422 Tel.:0777427449. Fax: 024 2231822 

 E-mail: rajabmkasaba@yahoo.co.uk

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.