Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Viongozi mbali mbali wa CCM Wilaya ya Kaskazini B Unguja alipofika Ofisi za CCM Mahonda Mkoa wa Kaskazini akiwa katika ziara ya kuwashukuru Wananchi na Wanachama wa Chama hicho.

Baadhi ya Viongozi walipokuwa wakimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Dk.Hussein Ali Mwinyi alipowasili katika ukumbi wa Mikutano wa Ofisi za CCM Mahonda Mkoa wa Kaskazini Unguja kwa ajili ya kusalimiana na Viongozi mbali mbali wa CCM Wilaya ya Kaskazini "B" leo .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Dk.Hussein Ali Mwinyi (wa pili kushoto) na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kaskazini Mhe.Iddi Ali Ame (kushoto) pamoja na Viongozi wengine wakiikmba wimbo wa Chama baada ya kuingia katika ukumbi wa mikutano wa Ofisi za CCM Mahonda Mkoa wa Kaskazini akiwa katika ziara ya kuwashukuru Wananchi na Wanachama wa Chama hicho.
Viongozi wa Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Kaskazini "B"Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipofika kuzungumza na kuwashukuru Wananchi na Wanachama wa Chama hicho katika ukumbi wa mikutano wa Ofisi za CCM Mahonda Mkoa wa Kaskazini .
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Dk.Hussein Ali Mwinyi alipokuwa akizungumza na Wananchi na Wanachama wa Chama hicho wa Wilaya ya Kaskazini "B" katika mkutano wa kuwashukuru uliofanyika leo katika Ofisi za CCM Mahonda (kushoto) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kaskazini Mhe.Iddi Ali Ame.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi pia Mjumbe wa Kamati Kuu ya CCM Taifa Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) alipokuwa akizungumza na Wananchi na Wanachama wa Chama hicho wa Wilaya ya Kaskazini "B" katika mkutano wa kuwashukuru uliofanyika leo katika Ofisi za CCM Mahonda (kushoto) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kaskazini Mhe.Iddi Ali Ame na (kulia) Maalim Kombo Hassan Juma Katibu Idara ya Siasa na Uhusiano wa Kimataifa pia Kaimu Naibu Katibu Mkuu CCM Zanzibar.[Picha na Ikulu] 29/05/2021.
No comments:
Post a Comment