Habari za Punde

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Kassim Majaliwa Amefungua Mkutano Mkuu wa 10 wa Jukwaa la Wahariri.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua Mkutano Mkuu wa 10 wa Jukwaa la Wahariri na Kongamano la Kitaaluma kwenye ukumbi wa Hoteli ya Nashera Mjini Morogoro, Mei 20, 2021.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua Mkutano Mkuu wa 10 wa Jukwaa la Wahariri na Kongamano la Kitaaluma kwenye ukumbi wa Hoteli ya Nashera Mjini Morogoro
Baadhi ya Washiriki wa Mkutano Mkuu wa 10 wa Jukwaa la Wahariri na Kongamano la Kitaaluma wakimsikiliza Mgeni Rasmi, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipofungua mkutano huo kwenye ukumbi wa Hoteli  ya Nashera mjini Morogoro
Kaimu Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri, Deodatus Balile akizungumza katika Mkutano Mkuu wa 10 wa Jukwaa la Wahariri na Kongamano la Kitaaluma uliofunguliwa na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa kwenye ukumbi wa Hoteli ya Nashera Mjini Morogoro, Mei 20, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Baadhi ya Washiriki wa Mkutano Mkuu wa 10 wa Jukwaa la Wahariri na Kongamano la Kitaaluma wakimsikiliza Mgeni Rasmi, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipofungua mkutano huo kwenye ukumbi wa Hoteli  ya Nashera mjini Morogoro. 
Baadhi ya Washiriki wa Mkutano Mkuu wa 10 wa Jukwaa la Wahariri na Kongamano la Kitaaluma wakimsikiliza Mgeni Rasmi, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipofungua mkutano huo kwenye ukumbi wa Hoteli  ya Nashera mjini Morogoro
Baadhi ya Washiriki wa Mkutano Mkuu wa 10 wa Jukwaa la Wahariri na Kongamano la Kitaaluma wakimsikiliza Mgeni Rasmi, Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa wakati alipofungua mkutano huo kwenye ukumbi wa Hoteli  ya Nashera mjini Morogoro.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.