Habari za Punde

Viongozi Wanawake wa Vyama vya Siasa Watembelea NEC

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dkt. Wilson Mahera akizungumza na viongozi wanawake kutoka vyama vya Siasa 14 vyenye usajili wa kudumu, waliotembelea Ofisi za Tume, Njedengwa jijini Dodoma juzi kujionea shughuli zinazofanywa na Tume hiyo. Ujumbe huo uliratibiwa na Ofisi ya Msajili wa vyama vya Siasa nchini kewa lengo la kuwajengea ufahamu wadau wake.

Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi, Dkt. Wilson Mahera akifafanua jambo wakati akiwatembeza katika maeneo mbalimbali ya jingo la Tume, viongozi wanawake kutoka vyama vya Siasa 14 vyenye usajili wa kudumu, waliotembelea Ofisi za Tume, Njedengwa jijini Dodoma juzi kujionea shughuli zinazofanywa na Tume hiyo. Ujumbe huo uliratibiwa na Ofisi ya Msajili wa vyama vya Siasa nchini kewa lengo la kuwajengea ufahamu wadau wake. 

(Picha na NEC)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.