Habari za Punde

WAZIRI MKUU AONGOZA MKUTANO NA WADAU WA ZAO LA ALIZETI

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia mashine maalum ya kuoteshea alizeti, wakati wa mkutano na wadau wa zao la alizeti, katika ukumbi Catholic Social Hall, Juni 13, 2021, mkoani Singida. Wa kwanza kushoto ni Waziri wa Kilimo Prof. Adolf Mkenda.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akipewa maelezo kutoka kwa Meneja wa Wakulima  Wadogo Edwin Shio kuhusu mbegu ya zao la alizeti, wakati alipotembelea mabanda, kwenye mkutano na wadau wa zao la alizeti, uliyofanyika katika ukumbi Catholic Social Hall
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza jambo na  Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Crop Bioscience Solution Limited Wilfred Mushobozi, wakati alipotembelea mabanda, kwenye mkutano na wadau wa zao la alizeti, uliyofanyika katika ukumbi Catholic Social Hall, Juni 13, 2021, mkoani Singida.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiangalia mafuta yanayotokana na zao la alizeti kutoka kwa kampuni ya Singida Fresh Oil Mill, wakati alipotembelea mabanda, kwenye mkutano na wadau wa zao la alizeti, uliyofanyika katika ukumbi Catholic Social Hall, Juni 13, 2021, mkoani Singida.  Wa kwanza kushoto ni Waziri wa Kilimo Prof. Adolf Mkenda
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akizungumza na wadau wa zao la alizeti  katika ukumbi Catholic Social Hall, Juni 13, 2021, Mkoani Singida

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.