Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Fedha na Mipango mhe Jamal Kassim Ali akisoma hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi ya ya wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2021/222
Baadhi ya Watendaji wa Wizara ya nchi ofisi ya Rais, Fedha na Mipango wakifuatilia mjadala wa hotuba ya makadirio na mapato ya Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2021/2022 katika ukumbi wa Baraza la Wawakilishi Chukwani.

No comments:
Post a Comment