Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi Ameweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Masjid Fisabilillah Tablih Markaz Kidoti na Kuchangia Shilingi Milioni Hamsini kwa Ujenzi wa Masjid Hiyo.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwasili katika viwanja vya Markaz Fisabilillah Kidoto Mkoa wa Kaskazini Unguja kwa ajili ya Uwekaji wa Kiwe la Msingi la Ujenzi wa Markaz hiyo, wakati wa ziara yake katika Mkoa huo, na (kushoto kwa Rais) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisaini kitabu cha wageni alipowasili katika Masjid Fisabilillah Markaz Kidoti Mkoa wa Kaskazini Unguja, wakati wa hafla ya uwekaji wa uwekaji wa jiwe la msingi Masjid Fisabilillah Markaz Kidoti Mkoa wa Kaskazini Unguja. akiwa katika ziara yake katika Mkoa huo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akisikiliza Mlezi wa Markaz ya Fisabilillah Kidoti Bw. Walid Fikirini, akitowa maelezo ya michoro ya majengo yanayotaka kujenga katika eneo hilo, kutowa huduma mbalimbali za Kijamii

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Katibu wa Markaz Fisabilillah Sheikh. Mwalimu Hafidh Jabu akitowa maelezo ya eneo linalotarajiwa kujengwa majengo mbalimbali ya Kijamii katika Kijiji hicho Kidoti Mkoa wa Kaskazini Unguja, wakati wa ziara yake katika Mkoa huo.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akiondoa kipazia kuashiria kuweka Jiwe la Msingi la Masjid Fisabilillah Markaz Kidoti Mkoa wa Kaskazini Unguja na (kulia) Sheikh.Ali Khamis, akiondoa kipazia wakati  uwekaji wa jiwe la msingi la ujenzi wa Masjid hiyo, wakati wa ziara yake katika Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Katibu wa Maandalizi ya Ijitimai Zanzibar Sheikh. Mwalim Hafidh Jabu, baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Masjid Fisabilillah Markaz Kidoti Mkoa wa Kaskazini Unguja akiwa katika ziara yake katika Mkoa huo kutembelea Miradi ya Maendeleo. 

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Husseinn Ali Mwinyi akiwa katika viwanja vya Ijitimai Fisabilillah Markaz Kidoti akielekea katika eneo lililotengwa kwa ajili ya upandaji wa Mti wa Muembe katika viwanja hivyo baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi huo akiwa katika ziara yake katika Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Husseinn Ali Mwinyi akipanda mti wa muembe katika viwanja vya Ijitimai Fisabilillah Markaz Kidoti baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi huo akiwa katika ziara yake katika Mkoa wa Kaskazini Unguja.
Katibu wa Maandalizi ya Ijitimai Zanzibar Sheikh Mwalim Hafidh Jabu akizungumza wakati wa hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi la Masjid Fisabilillah Markaz Kidoti Mkoa wa Kaskazinin Unguja, lililowekwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi, wakati wa ziara yake katika Mkoa wa Kaskazini Unguja.  
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba Sheria Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe. Haroun Ali Suleiman akizungumza katika hafla hiyo ya uwekaji wa jiwe la msingi la Masjid Fisabilillah Markaz Kidoti kabla ya kumkaribisha mgeni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi kuzungumza na Wananchi.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali akizungumza na Wananchi na Waumini wa Kiislam katika Masjid Fisabilillah Markaz Kidoti baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Masjid hiyi ilioko katika viwanja vya Ijitimai Kidoti Mkoa wa Kaskazini Unguja. 

Amir Sheikh.Kombo Hamad Ali akisoma dua maalum ya kumuombea Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali Mwinyi, baada ya kumalizika kwa hjafla ya uwekaji wa jiwe la msingi na Sala ya Adhuhuri iliofanyika katika Masjid Fisabilillah Markaz Kidoti.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Hussein Ali akiitikia dua ikisomwa na Naibu Mufti Mkuu wa Zanzibar Sheikh Mahmoud Mussa Wadi baada ya kumalizika kwa Dua Maalum iliosomwa na  Amir. Sheikh.Kombo Hamad Ali, iliofanyika katika Masjid Fisabilillah Markaz Kidoti baada ya kuweka Jiwe la Msingi la Ujenzi wa Masjid hiyi ilioko katika viwanja vya Ijitimai Kidoti Mkoa wa Kaskazini Unguja.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.