Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi aanza ziara Mkoa wa Kaskazini Unguja leo

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto) akizungumza na Wananchi wa Donge Chelechele  Jimbo la Donge Wilaya Kaskazini “B”  alipofika kutembelea barabara Donge- Chechele akiwa katika ziara yake Mkoa wa Kaskazini  Unguja iliyoanza leo.[Picha na Ikulu] 05/07/2021.

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (kushoto)akizungumza na Wananchi wa Donge Chelechele  Jimbo la Donge Wilaya Kaskazini “B”  alipofika kutembelea barabara Donge- Chechele akiwa katika ziara yake Mkoa wa Kaskazini  Unguja iliyoanza leo (kushoto) Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Ayoub Mohamed Mahmoud (kulia) Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kaskazni Bw.Iddi Ali Ame na Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi Mhe.Rahma Kassim Ali(wa pili kulia).[Picha na Ikulu] 05/07/2021.
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akizungumza na Wananchi wa  Kiongwe   Jimbo la Donge Wilaya Kaskazini “B”  alipofika kutembelea barabara Bumbwini –Kiongwe akiwa katika ziara yake Mkoa wa Kaskazini  Unguja iliyoanza leo.[Picha na Ikulu] 05/07/2021.

MKUU wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud akiwasilisha Taarifa ya utekelezaji ya Mkoa katika ukumbi wa Mitihani wa Skuli ya Sekondari ya Bumbwini, kabla ya kuaza kwa ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi katika Mkoa wa Kaskazini Unguja leo 5-7-2021.(Picha na Ikulu)

BAADHI ya Makatibu Wakuu wakifuatilia taarifa ya Mkoa wa Kaskazini Unguja ikiwasilishwa na Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja Mhe.Ayoub Mohammed Mahmoud (hayupo pichani) uliofanyika katika ukumbi wa Mitihani Skuli ya Sekondari Bumbwini Wiliya ya Kaskazini “B” Unguja.(Picha na Ikulu)
WAKUU wa Vikosi vya Ulinzi na Usalama Mkoa wa Kaskazini Unguja wakimsikiliza Mkuu wa Mkoa wa Kaskazini Unguja.Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud (hayupo pichani) akiwasilisha taarifa ya utekelezaji ya Mkoa, kabla ya kuaza kwa ziara ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, katika Mkoa huo.(Pichana Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akifuatilia Taarifa ya utekelezaji wa Kaz ya Mkoa wa Kaskazini wakati Mkuu wa Mkoa huo Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud akiwasilisha kabla ya kuaza ka ziara katika Mkoa huo, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Mitihani wa Skuli ya Sekondari ya Bumbwini Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja.(Picha na Ikulu)
WANANCHI wa Kijiji cha Kiyongwe Jimbo la Bumbwini Mkoa wa Kaskazini Unguja wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi.(hayupo pichani) wakati wa ziara yake kutembelea miradi ya maendeleo katika Kijiji hicho.(Picha na Ikulu) 

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akifuatilia Taarifa ya utekelezaji wa Kaz ya Mkoa wa Kaskazini wakati Mkuu wa Mkoa huo Mhe. Ayoub Mohammed Mahmoud akiwasilisha kabla ya kuaza ka ziara katika Mkoa huo, mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Mitihani wa Skuli ya Sekondari ya Bumbwini Wilaya ya Kaskazini “B” Unguja.(Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.