Habari za Punde

Wananchi Watakaopata Chanjo ya Covid 19, Watalipia Shilingi Elfu Ishirini Kwa Ajili ya Malipo Ununuzi wa Kadi ya Chanjo.- Waziri Mazrui.

Waziri wa Afya, Ustawi wa Jamii, Wazee, Jinsia na Watoto Zanzibar Mhe. Nassor Ahmed Mazrui, akionesha Kadi kwa Waandishi wa habari (hawapo pichani) wakati wa mkutano wake na waandishi.Kadi hiyo atapatiwa Mwananchi aliyepata Chanjo ya COVID 19 kwa gharama ya shilingi 20,000/- mkutano huo umefanyika katika ukumbi wa Wizara ya Afya Mnazi mmoja .
WAZIRI wa Afya, Ustawi wa Jamii, Wazee, Jinsia na Watoto, Nassor Ahmed Mazrui, akizungumza na waandishi wa habari kuhusiana na kadi, ambayo atapatiwa mwananchi ambae apaata chanjo ya COVID- 19, kadi hiyo itakua inaizwa kwa shilini elfu 20,000/ za Kitanzania. 

Picha na Abdalla Omar.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.