Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa pamoja na viongozi Wakuu wa Mataifa mbalimbali Duniani wakishiriki katika Mkutano wa Wakuu wa Nchi Wanachama wa Umoja wa Ulaya na Umoja wa Afrika (EU-AU Summit) leo tarehe 17 Februari, 2022 Brussels nchini Ubelgiji.
IAA YAANZA UJENZI KAMPASI YA SONGEA
-
SHILINGI Bilioni 18, zimetolewa kupitia Mradi wa Elimu ya Juu kwa Mageuzi
ya Kiuchumi (HEET), ili kufanikisha ujenzi Chuo cha Uhasibu Arusha (IAA)
ka...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment