Habari za Punde

MAJALIWA AFUNGUA SEMINA YA WABUNGE KUHUSU SENSA YA WATU NA MAKAZI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipofungua Semina kuhusu Sensa ya Watu na Makazi kwa Wabunge  iliyofanyika kwenye ukumbi wa Msekwa, Bungeni  jijini Dodoma, Mei 30,2022.
Baadhi ya washiriki wa Semina  kuhusu Sensa ya Watu na Makazi  kwa Wabunge wakimsikiliza Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa  wakati alipofungua Semina hiyo kwenye ukumbi wa Msekwa, Bungeni  jijini Dodoma, Mei 30,2022. 
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.