Habari za Punde

IGP Sirro Hal;i ya Usalama Nchini ni Shwari. Atembelea Maonesho ya Sabasaba leo.

Matukio mbalimbali pichani yakimuonesha Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, wakati alipotembelea maonesho ya 46 ya Kimataifa ya biashara ambayo bado yanaendelea jijini Dar es salaam. IGP Sirro aliwataka wananchi kuendelea kutembelea maonesho hayo ambayo kwasasa yamekuwa na vitu vingi vizuri ikiwemo elimu inayotolewa na Jeshi la Polisi kuhusu namna ya kutambua uhalifu na kukabiliana matukio ya uhalifu na wahalifu.

Picha na Jeshi la Polisi
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.