Wanafunzi wa Skuili ya Mkwajuni wakioneshwa bango linalosomeka "Kataa Risiti ya Mkono dai Risiti ya Kielektroniki"katika hafla ya uzinduzi wa madarasa mapya saba ya Skuli ya Msingi Mkwajuni yaliyojengwa kilichojengwa na Kikosi cha Chuo cha Mafunzo kupitia Serikali ya Mapinduzi Zanzibar chini ya Ufadhili wa mkopo wa UVIKO 19,kupitia Shirika la Fedha Dunia IMF alipofanya ziara ya Wilaya ya Kaskazini “A”Unguja iliyoanza leo kwa kutembelea miradi mbali mbali ya maendeleo (wa pili kulia) Mke wa Rais Mama Mariam Mwinyi.[Picha na Ikulu] 19/07/2022.
Wanafunzi wakinyanyua mikono juu kumsalimia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi,(hayupo pichani) mara baada ya Kuzindua madarasa mapya saba ya Skuli ya Msingi Mkwajuni yaliyojengwa na Kikosi cha Chuo cha Mafunzo kupitia Serikali ya Mapinduzi Zanzibar chini ya Ufadhili wa mkopo wa UVIKO 19,kupitia Shirika la Fedha Dunia IMF alipofanya ziara ya Wilaya ya Kaskazini “A”Unguja iliyoanza leo kwa kutembelea miradi mbali mbali ya maendeleo .[Picha na Ikulu] 19/07/2022.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi, alipokuwa akizungumza na Wanafunzi,Walimu na Wazee mara baada ya Kuzindua madarasa mapya saba ya Skuli ya Msingi Mkwajuni yaliyojengwa na Kikosi cha Chuo cha Mafunzo kupitia Serikali ya Mapinduzi Zanzibar chini ya Ufadhili wa mkopo wa UVIKO 19,kupitia Shirika la Fedha Dunia IMF alipofanya ziara ya Wilaya ya Kaskazini “A”Unguja iliyoanza leo kwa kutembelea miradi mbali mbali ya maendeleo.
[Picha na Ikulu] 19/07/2022.
No comments:
Post a Comment