Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi Ameweka Jiwe la Msingi Skuli ya Msingi ya Kwabinti Hamrani Jangombe Ikijengwa kwa Fedha za COVID -19.

Muonekani wa Jengo Jipya la Skuli ya Msingi ya Kwabinti hamrani Jangombe inayojengwa kupitia Fedha za Covid -19, imewekwa Jiwe la Msingi la Ujenzi huo na Rais wa Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, akiwa katika ziara yake Wilaya ya Mjini Unguja kutembelea Miradi ya Maendeleo katika Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja 18-7-2022.   


 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.