Habari za Punde

Maadhimisho ya kilele cha Tamasha la elimu bila malipo uwanja wa Amaan leoWaziri wa Elimu na Mafunzi Amali Leila Mohammed Mussa akizungumza kabla ya kumkaribisha Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman , katika maadhimisho ya kilele cha tamasha la elimu bila malipo kutimia miaka 58. Mhe. Othman alimuakalisha rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Husein Ali Mwinyi. ( ( Picha na Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar.)

Baadhi ya wanafunzi na walimu kutoka baadhi ya skuli tofauti za mikoa mitano ya  Zanzibar wakipita mbele ya Mhe. Othman Masoud Othman , ambaye alimwakilisha rais wa Zanzibar Dk. Hussein Mwinyi katika maadhimisho ya kilele cha Tamasha la elimu bila malipo kutimia miaka 58. sherehe hizo zimefanyika katika Uwanja wa AMAAN MJINI ZANZIBAR LEO tarehe 23.09.2022. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, 
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman , akipokea maandamano ya baadhi ya wanafunzi na  walimu wa Skuli za Mikoa mitano ya Zanzibar huko uwanja wa Amaani mjini Unguja  LEO TARE 23.09.2022 katika maadhimisho ya kilele cha tamasha la elimu bila malipo kutimia miaka 58. Mhe. Othman alimuakalisha rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Husein Ali Mwinyi. ( Picha na Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman , akizungumza na baadhi ya wanafunzi na  walimu wa Skuli za Mikoa mitano ya Zanzibar huko uwanja wa Amaani mjini Unguja  LEO TAREHE 23.09.2022 katika maadhimisho ya kilele cha tamasha la elimu bila malipo kutimia miaka 58. Mhe. Othman alimuakalisha rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Husein Ali Mwinyi. ( ( Picha na Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar.)
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman , akipokea maandamano ya baadhi ya wanafunzi na  walimu wa Skuli za Mikoa mitano ya Zanzibar huko uwanja wa Amaani mjini Unguja  LEO TAREHE 23.09.2022 katika maadhimisho ya kilele cha tamasha la elimu bila malipo kutimia miaka 58. Mhe. Othman alimuakalisha rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Husein Ali Mwinyi. ( ( Picha na Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar.)
Viongozi  mbali mbali wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar wakiwemo mawaziri waliohudhuria katika kilele cha sherehe za elimu bila Malipo kutimia miaka 58 huko uwanja wa Amaan mjini Zanzibar wakiungana na Mhe. Othman  ambaye alimwakilisha Dk Mwinyi wakiimba wiimbo wa mashujaa wa 'Sisi Sote tumegomba" katika kilele cha shere za elimu bila malipo zilizofanyia Uwanja wa AMANI leo tare 23.09.2022.  ( Picha na Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar)
Mkamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman akikabidhi Kikombe cha  ushindi wa Jumla wa Mashindano ya Tamasha la  Elimu bila  Malipo kwa mwaka 2022 Afisa Elimu Wilaya ya Mjini Mhammed Abdalla  Ali. Katika tamasha hilo Mkoa wa mjini Magharibi ulikuwa ndio mshindi wa jumla kwa mashindano mbali mbali ya tamasha hilo (Picha na Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar)
Baadhi ya wanafunzi na walimu kutoka baadhi ya skuli tofauti za mikoa mitano ya  Zanzibar wakiwa katika jukwaa kusubiri kumsikiliza  Mhe. Othman Masoud Othman (Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar) , ambaye alimwakilisha rais wa Zanzibar Dk. Hussein Mwinyi katika maadhimisho ya kilele cha Tamasha la elimu bila malipo kutimia miama 58. Sherehe hizo zimefanyika katika Uwanja wa AMAAN MJINI ZANZIBAR LEO tarehe 23.09.2022. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.