Habari za Punde

Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa Arejea Nchini Akitokea Nchini Japan

 Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa akizungumza na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mahandisi Hamadi Masauni wakati alipowasili kwenye uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jjiini Dar es salaam akitoka Tokyo Japan ambako alimwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan kwenye mazishi ya aliyekuwa Waziri Mkuu wa Japan, Shinzo Abe. Kushoto ni Mkuu wa Wilaya ya Ilala , Ngwilabuzu Ludigija.

(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.