Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Viongozi pamoja na Wananchi wa Babati kwenye Mkutano wa hadhara uliofanyika katika uwanja wa Kwaraa Mkoani Manyara tarehe 23 Novemba, 2022.
Wananchi pamoja na Viongozi wa Mkoa wa Manyara wakiwa kwenye uwanja wa Kwaraa Babati kumsikiliza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan tarehe 23 Novemba, 2022.
No comments:
Post a Comment