Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akifungua mlango kuashoroa kuzindua Mradi wa Kijana Nahodha inaofadhiliwa na USAID ya Marekani, uzinduzi huo uliofanyika katika viwanja vya mpira Maisara Suleiman Wilaya ya Mjini Unguja jana 22-2-2023.
WADAI 100 KUONGEZWA KWENYE HATI YA MASHTAKA YA DKT. MANGURUWE
-
UPANDE wa Mashtaka katika kesi ya Uhujumu Uchumi inayomkabili Mkurugenzi
Mtendaji wa Kampuni ya Vanilla International, Simon Mkondya maarufu Dkt.
Mangur...
59 minutes ago

Nimtuma maombi ya kijana nahodha lakini sijapata majibu Hadi leo
ReplyDelete