Habari za Punde

Maafisa habari wapewa mafunzo

Mhariri Mtendaji wa Gazeti la Zanzibar Leo Ali Haji Mwadini akitoa hotuba ya Makaribisho  katika hafla ya Mafunzo ya siku mbili kwa Maafisa wa Habari iliofanyika Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Mazizini Zanzibar.
Mkurugenzi wa wa Shirika la Internews Tanzania Agnes Kayuni akitoa hotuba ya kumkaribisha Mgeni Rasmi  katika hafla ya Mafunzo ya siku mbili kwa Maafisa wa Habari iliofanyika Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Mazizini Zanzibar.

Baadhi ya Maafisa wa Habari waliohudhuria katika  hafla ya Mafunzo ya siku mbili kwa Maafisa wa Habari iliofanyika Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Mazizini Zanzibar.

Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Tabia Maulid Mwita akitoa hotuba ya Ufunguzi wa Mafunzo  ya siku mbili kwa Maafisa wa Habari iliofanyika Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Mazizini Zanzibar.

Waziri wa Habari Vijana Utamaduni na Michezo Tabia Maulid Mwita akiwa pamoja na Viongozi na Maafisa wa Habari katika  hafla ya Mafunzo ya siku mbili kwa Maafisa wa Habari iliofanyika Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Mazizini Zanzibar.

Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo Hassan Khatib akiwasilisha Mada ya Muundo wa Utumishi katika hafla ya Mafunzo ya siku mbili kwa Maafisa wa Habari iliofanyika Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Mazizini Zanzibar.

Afisa Habari kutoka Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa Rais Raya Hamadi akizungumza jambo katika hafla ya Mafunzo ya siku mbili kwa Maafisa wa Habari iliofanyika Ofisi ya Mtakwimu Mkuu wa Serikali Mazizini Zanzibar.

PICHA NA YUSSUF SIMAI/MAELEZO ZANZIBAR.29-05-2023.

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.