Habari za Punde

Uzinduzi wa Mradi wa Uwekezaji wa Afya ya Mama na Mtoto Tanzania

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Othman Masoud Othman,  akizungunza katika uzinduzi Mradi wa Uwekezaji wa Afya ya Mama na Mtoto Tanzania, uliofanyika leo 23.08.2023 katika Ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi "B" Unguja Jijini Zanzibar na (kushoto )Naibu Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Fedha na Mipango Zanzibar Mhe. Ali Suleman Mrembo na Katibu wa Baraza la Mapinduzi na Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said. Uzinduzi huo umefanyika kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk Husein Ali Mwinyi.

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe.  Othman Masoud Othman,  akizungunza katika uzinduzi Mradi wa  Mradi wa Uwekezaji Afya ya Mama na Mtoto Tanzania, uzinduzi huo uliofanyika leo 23.08.2023 katika Ukumbi wa Hoteli ya Golden Tulip Uwanja wa Ndege Kiembesamaki Wilaya ya Magharibi "B" Unguja.Uzinduzi huo umefanyika kwa niaba ya Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk Husein Ali Mwinyi.

(Picha na OMKR.)

 

 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.