Habari za Punde

Hafla ya uwekaji wa Jiwe la Msingi ujenzi wa Barabara ya Jozani-Charawe-Ukongoroni na Bwejuu

Viongozi wa Chama cha Mapinduzi wakimkaribisha Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi leo alip[ofika Mapandani katika ujenzi wa Barabara ya Jozani-Charawe-Ukongoroni na Bwejuu alipofanya ziara ya Mkoa wa Kusini Unguja sambmba na shamra shamra za kutimia miaka mitatu ya Uongozi wake.[Picha na Ikulu] 25/10/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi  (katikati) alipokuwa akitoa hutuba yake katika hafla ya  uwekaji wa Jiwe la Msingi  ujenzi wa Barabara ya Jozani-Charawe-Ukongoroni na Bwejuu alipofanya ziara ya Mkoa wa Kusini Unguja kukagua miradi ya mendeleo katika shamra shamra za kutimia miaka mitatu ya Uongozi wake (kushoto) Naibu Waziri wa Ujenzi,Mawasiliano na Uchukuzi Mhe.Abdul-latif Yussuf (kulia) Katibu wa Baraza la Mapinduzi piua Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Zena Ahmed Said na Mkuu wa Mkoa wa Kusini Unguja Mhe.Rashid Hadid Rashid  .[Picha na Ikulu] 25/10/2023.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi  (katikati) alipokuwa akitoa hutuba yake katika hafla ya  uwekaji wa Jiwe la Msingi  ujenzi wa Barabara ya Jozani-Charawe-Ukongoroni na Bwejuu alipofanya ziara ya Mkoa wa Kusini Unguja kukagua miradi ya mendeleo katika shamra shamra za kutimia miaka mitatu ya Uongozi wake    .[Picha na Ikulu] 25/10/2023.
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.