Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi azungumza na Ujumbe wa Makumbusho ya Taifa wa Oman Ikulu

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Ujumbe wa Makumbusho ya Taifa kutoka Oman, ukiongozwa na Mtendaji Mkuu wa Makumbusho ya Taifa Oman Mhe.Jamal Al Moosawi (kulia kwa Rais) na Balozi mdogo wa Oman Zanzibar Mhe.Said Salim Al-sinawiy,mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 10-10-2023.(Picha na Ikulu)
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na mgeni wake Mtendaji Mkuu wa Makumbusho ya Taifa ya Oman Mhe. Jamal Al Moosawi (kulia kwa Rais) na Balozi Mdogo wa Oman Zanzibar Mhe.Said Salim Al-Sinawiy,mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 10-10-2023.(Picha na Ikulu)
AIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika mazungumzo na Ujumbe wa Makumbusho ya Taifa ya Oman, ukiongozwa na Mtendaji Mkuu wa Makumbusho ya Taifa Oman Mhe. Jamal Al-Moosawi (kulia kwa Rais) na Balozi Mdogo wa Oman anayefanyia Kazi zake Zanzibar Mhe. Said Salim Al-Sinawiy na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe.Simai Mohammed Said, mazungumzo hayo yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 10-10-2023.(Picha na Ikulu)  
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akimsikiliza Mtendaji Mkuu wa Makumbusho ya Taifa ya Oman Mhe. Jamal Al- Moosawi, akitowa maelezo ya kitabu cha historia ya Oman kabla ya kumkabidhi, baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 10-10-2023 na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Utalii na Mambo ya Kale Zanzibar Mhe.Simai Mohammed Said.(Picha na Ikulu)

 RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiagana na Mtendaji Mkuu wa Makumbusho ya Taifa ya Oman Mhe. Jamal Al- Moosawi,baada ya kumaliza mazungumzo yao yaliyofanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar leo 10-10-2023 (Picha na Ikulu)

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.