Habari za Punde

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Mhe.Dk.Hussein Mwinyi Ameongoza Kikao cha Kamati Maalum ya Halmshauri Kuu ya CCM Zanzibar Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiwa katika ukumbi wa mkutano Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar, kwa ajili ya Kuongoza Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar kilichofanyika leo 22-11-2023, na  (kulia kwa Rais) Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa  ambae pia ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Mhe.Hemed Suleiman Abdullah
NAIBU Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt. Mohammed Said Dimwa akisoma ajenda za Kikao cha Kamati Maluum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, kabla ya kufungulia kwa Kikao hicho na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (kulia kwake) na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mhe. Hemed Suleiman Abdullah, kilichofanyika leo 22-11-2023 katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Wilaya Mjini Unguja Jijini Zanzibar.
WAJUMBE wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar wakiwa katika ukumbi wa mkutano Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini  Zanzibar, wakisoma makabrasha ya Kikao, kabla ya kuaza kwa Kikao hicho, kilichongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kilichofanyika leo 22-11-2023
WAJUMBE wa Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar wakiwa katika ukumbi wa mkutano Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Zanzibar, kabla ya kuaza kwa Kikao cha Kamati Maalumu ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, kilichoongozwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar  ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi, kilichofanyika leo 22-11-2023 katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akiongoza Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, kilichofanyika leo 22-11-2023, katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Wilaya ya Mjini Unguja Jijini Zanzibar

MAKAMU Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar ambae pia ni Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akongozana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt. Mohammed Said Dimwa, baada ya kumalizika kwa Kikao cha Kamati Maalum ya Halmashauri Kuu ya CCM Zanzibar, kilichofanyika leo 22-11-2023 katika ukumbi wa Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar Wilaya ya Mjini Unguja
 
No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.