Habari za Punde

Rais Dk Hussein Mwinyi afungua Hospitali ya Wilaya Kinyasini Mkoa wa Kaskazini Pemba

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (katikati) akikata utepe  kama ishara ya ufunguzi wa  Hospitali ya Wilaya Kinyasini Mkoa wa Kaskazini Pemba leo akiwa katika ziara ya kukagua miradi ya maendeleo  katika shamra shamra za Miaka mitatu ya Uongozi wake(kulia) Naibu Waziri wa Afya Mhe.Hassan Khamis Khafidh,Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mariam Mwinyi (kushoto) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Dkt.Mohamed Said Mohamed na Waziri wa Afya Mhe.Nassor Ahmed Mazrui.[Picha na Ikulu] 02/11/2023.

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi(kushoto) pamoja na  Viongozi aliofuatana   wakipata maelezo kutoka kwa Mfamasia Dhamana Wardat Ali Khamis (kulia) alipotembelea sehemu mbali mbali katika  Hospitali ya Wilaya Kinyasini Mkoa wa Kaskazini Pemba leo akiwa katika ziara ya kukagua miradi ya maendeleo  katika shamra shamra za Miaka mitatu ya Uongozi wake .[Picha na Ikulu] 02/11/2023.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (kulia) walipata fursa kuwaangalia Watoto Njiti katika chumba maalum wakati  alipotembelea sehemu mbali mbali katika  Hospitali ya Wilaya Kinyasini Mkoa wa Kaskazini Pemba leo akiwa katika ziara ya kukagua miradi ya maendeleo  Mkoa wa Kaskazini Pemba katika shamra shamra za kutimiza Miaka mitatu ya Uongozi wake .[Picha na Ikulu] 02/11/2023.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (katikati)    pamoja na Viongozi wa Wizara ya Afya  wakimsikiliza  Dr.Bedui Nassor Mbarouk (kushoto) walipotembelea Chumba cha wagonjwa mahtuti ICU katika  Hospitali ya Wilaya Kinyasini Mkoa wa Kaskazini Pemba leo alipokuwa katika mfululizo wa ziara zake za kukagua miradi ya maendeleo Mikoa ya Pemba katika shamra shamra za kutimiza Miaka mitatu ya Uongozi wake.[Picha na Ikulu] 02 /11/2023.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi na Mkewe Mama Mariam Mwinyi (katikati)    pamoja na Viongozi wa Wizara ya Afya  wakimsikiliza  Daktari Dhamana Wilaya ya Wete na bingwa wa upasuaji wa mishipa  Dr.Ramadhan Faki Ali  (kushoto) walipotembelea Chumba cha upasuaji  katika  Hospitali ya Wilaya Kinyasini Mkoa wa Kaskazini Pemba leo alipoifungua rasmi   katika mfululizo wa ziara zake za kukagua miradi ya maendeleo Mikoa ya Pemba katika shamra shamra za kutimiza Miaka mitatu ya Uongozi wake.[Picha na Ikulu] 02 /11/2023.

Baadhi ya Viongozi na Wananchi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi leo akitoa hutuba yake katika hafla ya Ufunguzi wa Hospitali ya Wilaya Kinyasini Mkoa wa Kaskazini Pemba katika mfululizo wa ziara zake za kukagua miradi ya maendeleo Mikoa ya Pemba katika shamra shamra za kutimiza Miaka mitatu ya Uongozi wake.[Picha na Ikulu] 02 /11/2023.

Huu ni muonekano wa Jengo la Hospitali ya Wilaya Kinyasini Mkoa wa Kaskazini Pemba ,ambalo limeanza kazi mwishoni mwa mwezi wa Octoba mwaka huu sambamba na shamra shamra   za kutimiza Miaka mitatu ya Uongozi wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi tokea kuchaguliwa kushika madaraka .[Picha na Ikulu] 02 /11/2023.
Baadhi ya madakatari katika Hospitali ya Wilaya Kinyasini Mkoa wa Kaskazini Pemba  wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake katika hafla ya sherehe ya Ufunguzi wa Hospitali hiyo leo  katika mfululizo wa ziara zake za kukagua miradi ya maendeleo Mikoa ya Pemba katika shamra shamra za kutimiza Miaka mitatu ya Uongozi wake.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi  alipokuwa akitoa hutuba yake kwa Wananchi  katika hafla ya sherehe ya Ufunguzi wa  Hospitali ya Wilaya Kinyasini Mkoa wa Kaskazini Pemba leo  katika mfululizo wa ziara zake za kufungua miradi mbali mbali ya maendeleo Mikoa ya Pemba katika shamra shamra za kutimiza Miaka mitatu ya Uongozi wake.

Viongozi na Wananchi wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) alipokuwa akitoa hutuba yake katika hafla ya sherehe ya Ufunguzi wa Hospitali   ya Wilaya Kinyasini Mkoa wa Kaskazini Pemba leo  katika mfululizo wa ziara zake za kukagua miradi ya maendeleo Mikoa ya Pemba katika shamra shamra za kutimiza Miaka mitatu ya Uongozi wake.[Picha na Ikulu] 02 /11/2023.  
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi  alipokuwa akitoa hutuba yake kwa Wananchi  katika hafla ya sherehe ya Ufunguzi wa  Hospitali ya Wilaya Kinyasini Mkoa wa Kaskazini Pemba leo  katika mfululizo wa ziara zake za kufungua miradi mbali mbali ya maendeleo Mikoa ya Pemba katika shamra shamra za kutimiza Miaka mitatu ya Uongozi wake.[Picha na Ikulu] 02 /11/2023.  

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.