Habari za Punde

Makabidhiano ya Ofisi ya Katibu Mkuu Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi leo 4-4-2024

Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ally Senga Gugu na aliyekua Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Kaspar  Mmuya (kulia) wakiweka Saini Taarifa  za  Makabidhiano ya Ofisi yaliyofanyika leo Makao Makuu ya wizara, Mtumba jijini Dodoma
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Ally Senga Gugu akibadilishana hati za makabidhiano ya ofisi na aliyekua Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Kaspar  Mmuya (kulia) wakati wa Makabidhiano ya Ofisi yaliyofanyika leo Makao Makuu ya wizara, Mtumba jijini Dodoma
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi,Ally Senga Gugu(watatu kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Tawala wa Mkoa wa Dodoma ambae pia alikua Katibu Mkuu wa wizara hiyo, Kaspar Mmuya(wanne kulia),baada ya Makabidhiano ya Ofisi yaliyofanyika Makao Makuu ya wizara, Mtumba jijini Dodoma.Wengine ni Wakuu wa Idara na Vitengo vilivyopo chini ya wizara.Picha na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.