Habari za Punde

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Mwinyi Afungua Kongamano la Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar na Jamhuri ya Muungano

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akisalimiana na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe. January Yussuf Makamba, alipowasili katika viwanja vya Ukumbi wa Dk.Ali  Mohamed Shein  SUZA Tunguu Wilaya ya Kati Unguja, kwa ajili ya ufunguzi wa Kongamano la Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, lililofanyika leo 11-6-2024 katika ukumbi huo na (kushoto kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria, Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe.Haroun Ali Suleiman
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akielekea katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein SUZA Tunguu  Wilaya ya Kati Unguja, kwa ajili ya ufunguzi wa Kongamano la Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, lililofanyika leo 11-6-2024 katika ukumbi huo na (kulia kwa Rais) Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Katiba,Sheria,Utumishi na Utawala Bora Zanzibar Mhe.Haroun Ali Suleiman
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi akihutubia na kulifungua Kongamano la Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, linalofanyika katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein SUZA Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja leo 11-6-2024
WASHIRIKI wa Kongamano la Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakipiga makofi wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kulifungua Kongamano hilo linalofanyika katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein SUZA Tunguu Wilaya ya Kati Unguja leo 11-6-2024.
BAADHI ya Viongozi wa Serikali wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kulifungua Kongamano la Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,linalofanyika katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein SUZA Tunguu Wilaya ya Kati Unguja leo 11-6-2024
WATOA Mada katika Kongamano la Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, wakimsikiliza Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kulifungua Kongamano hilo linalofanyika katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein SUZA Tunguu Wilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja leo 11-6-2024





WASHIRIKI wa Kongamano la Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakipiga makofi wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kulifungua Kongamano hilo linalofanyika katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein SUZA Tunguu Wilaya ya Kati Unguja leo 11-6-2024
WASHIRIKI wa Kongamano la Miaka 60 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar na Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakipiga makofi wakati Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi (hayupo pichani) akihutubia na kulifungua Kongamano hilo linalofanyika katika ukumbi wa Dk.Ali Mohamed Shein SUZA Tunguu Wilaya ya Kati Unguja leo 11-6-2024
 

No comments:

Post a Comment

ZanziNews Copyright © 2014

Theme images by Bim. Powered by Blogger.