Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Alhajj Hemed Suleiman Abdulla amejumuika na wanafamilia na waumini wa Dini ya Kiislamu katika Swala na Dua ya kumuombea marehemu Amour Khalfan Salum aliekuwa mtangazaji Mstaafu wa Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC) iliyofanyika katika msikiti wa Muembe Tanga Wilaya ya Mjini Unguja.
Inna liilahi wainna ilaihi raajiun
Imetolewa na Kitengo cha Habari (OMPR)
Tarehe 26.07.2024
No comments:
Post a Comment