Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Watanzania wakiwemo wafanyakazi,
wanafunzi na wafanyabiashara wanaoishi nchini China (Diaspora) kwenye mkutano
uliofanyika Jijini Beijing.
Watanzania wanaoishi nchini
China (Diaspora) wakiwa kwenye mkutano na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Jijini Beijing
Watanzania wanaoishi nchini
China (Diaspora) wakiwa kwenye mkutano na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Jijini Beijing.
Watanzania wanaoishi nchini
China (Diaspora) wakiwa kwenye mkutano na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan Jijini Beijing.
Matukio mbalimbali katika mkutano kati ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na Watanzania waishio nchini China (Diaspora) uliofanyika Jijini Beijing.
No comments:
Post a Comment