Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) (Kushoto), akiwa na Rais na Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Biashara na Maendeleo (Trade and Development Bank Group-TDB), Bw. Admassu Tadesse, baada ya kukutana na kufanya mazungumzo Kando ya Mkutano wa Nishati wa Wakuu wa Nchi na Serikali, katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano (JNICC), Jijini Dar es Salaam, ambapo pamoja na mambo mengine, Mhe. Dkt. Nchemba aliishukuru Benki hiyo kwa kuchangia maendeleo ya nchi kwa kutoa fedha za kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo ya kiuchumi ikiwemo ujenzi wa reli ya kisasa ya SGR kipande cha 2 kinachoanzia Morogoro hadi Dodoma, ambayo ujenzi wake umekamilika kwa asilimia 100.
MANERUMANGO MABINGWA JAFO CUP 2024-25
-
Na Khadija Kalili, Michuzi TV
TIMU ya Tarafa ya Manerumango 'Mango' yenye Maskani yake Manerumango
Wilayani Kisarawe wameibua kuwa mabingwa katika fain...
3 hours ago
No comments:
Post a Comment