Mwenyekiti wa Chama
Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia
Suluhu Hassan akisalimia wanachama na wananchi waliojitokeza kwenye maadhimisho
ya miaka 48 ya kuzaliwa kwa Chama hicho kwenye uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma,
tarehe 5 Februari, 2025.
Mwenyekiti wa Chama
Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia
Suluhu Hassan ambaye ni mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa
tiketi ya CCM akimtambulisha Mgombea mwenza Katibu Mkuu wa Chama hicho Balozi Dkt.
Emmanuel Nchimbi pamoja na Mgombea Urais wa Zanzibar kwa tiketi ya Chama hicho
Dkt. Hussein Ali Mwinyi kwenye Maadhimisho ya miaka 48 ya kuzaliwa kwa Chama
hicho kwenye uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma, tarehe 5 Februari, 2025.
Shamrashamra wakati
wa maadhimisho ya miaka 48 ya kuzaliwa kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kwenye
uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma, tarehe 5 Februari, 2025.
Mwenyekiti wa Chama
Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia
Suluhu Hassan akihutubia wanachama na wananchi waliojitokeza kwenye maadhimisho
ya miaka 48 ya kuzaliwa kwa Chama hicho kwenye uwanja wa Jamhuri Jijini Dodoma,
tarehe 5 Februari, 2025.
No comments:
Post a Comment